simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Musoma nako … ?!

leave a comment »

Aisee! Ndivyo mambo yalivyokuwa kule Mara pale CHADEMA waliopofanya maandamano ya amani … amani tupu! Kumbe inawezekana kuandamana na kuwa na amani na utulivu … natazama uso wa huyo askari … nasoma kwamba ana amani na utulivu mkubwa. Kama tungepata taswira za askari polisi katika kizungumkuti cha kule Arusha mwezi Januari … naamini ungeona jinsi zilivyojaa stress, hamaki na ukosefu wa utulivu na amani … ila hapa … shwaaaari kabisa. Mara nyingine ,matumizi ya hekima yanasaidia sana … mambo ya taarifa za kiintelijensia hayana tija … unaweza kuona jinsi ambavyo kumekuwa na ‘intelligensia failure in understanding the role of social networks in bringing down governments in the Arab world … of all the shocks … is the shock coming from Libya … who would have thought that Africa’s strongest man, Muammar Gaddafi, would be as badly cornered as he is now?’ Common sense inafanya kazi vema zaidi … Tuiheshimu … tuitumie kwa manufaa ya Taifa …

Picha kutoka wall ya Facebook ya Frederick Katulanda

Advertisements

Written by simbadeo

February 26, 2011 at 5:44 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: