simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Jawad AlBahrani

leave a comment »

Mwishoni mwa mwaka jana nilipata bahati ya kuonana na kusalimiana na Mzee Jawad. Yeye ni mtunzi wa tungo za Taarab na vilevile ni mtunzi wa visa vya Jangwa la Uajemi … na vilevile Visa vya Usiku wa Zanzibar. Hadithi zake hizo mbili zilizosheni visa mbalimbali ziko mbioni kuchapishwa vitabu. Inshaallah, vitabu vitakapotoka nitawafahamisha ili mpate kuvifurahia na kujifunza mengi kutoka kwa Mzee Jawad. Ama kwa hakika, kuishi kwingi ni kuona mengi.

Pichani, mimi nipo kushoto na kulia ni Mzee Jawad. Nami najifunza mengi kutoka kwake … kama unavyoona …

Advertisements

Written by simbadeo

February 24, 2011 at 10:58 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: