simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Je, unafuga kuku? … Taarifa hizi zitakufaa …

with 41 comments

Kipeperushi … kwa hisani ya Da Eliza Rugenza na Tanzania Poultry Farms (Arusha).

Moja ya malengo ya blogu hii ni kuwafikishia wadau taarifa muhimu wanazoweza kutumia ili kujiletea ukombozi wa kiuchumi na papo hapo kutoa mchango kwa ukuaji wa Taifa (Kiuchumi, Kijamii, Kiutamaduni, Kimaarifa). Ninaamini kwamba wafugaji kuku wengi watanufaika na taarifa hii. Ili kupata habari za kina na mijadala kuhusu ufugaji, tafadhali tembelea makala inayoitwa “Kuku wa Amadori” kwenye blogu hii hii. Hapo utapata fursa ya kujifunza na kutoa michango yako ya fikra na uzoefu kuhusiana na suala zima la ufugaji kuku. Karibu.

Advertisements

Written by simbadeo

February 22, 2011 at 10:52 am

Posted in Siasa na jamii

41 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. MIE NAFUGA KUKU WA KIENYEJI TUNAO CHOTARA WEKUNDU,KUCHHI CHOTA, KUKU WEUSI BARRED ROCK, NA CHHOTARA WA KAWAIDA,TUNA MASHINE ZA KUANGUA VIFARANGA TUNATOA USHAURI PIA
  TUNAUZA MAYAI YA KUANGUALIA PIA, KARIBU UFAIDIKE NA YOTE HAYO

  Like

  BENSON

  November 25, 2011 at 6:52 pm

  • Ndugu Benson. Asante sana kwa taarifa hizi. Naamini kwamba wadau wamezisikia na watachangamkia fursa ulizowatangazia. Kuna fursa za kujifunza, kubadilishana fikra na hata kupeana miongozo. Asanteni sana wadau wa blogu hii hasa katika ulimwengu wa Ufugaji Kuku.

   Like

   simbadeo

   November 26, 2011 at 12:33 am

   • mimi nina maeneo makubwa mtwara mjini. mtwara ni mkoa unao kuwa kwa kasi sana kutokana na ugugunduzi wa gesi na mafuta. Mahoteli makubwa na maofisi makubwa yamefunguliwa na yote yanhitaji huduma ya mayai na kuku. Hivyo nilikuwa naitaji kuingia ubia na mfanya biashara wa kuku tuweze kufungua branchi ya kuku wa nyama na uuzaji wa mayai mtwara. Na kama atapenda kununua hayo maeneo nipo tayari kuyauza.viwanja nimeviendeleza na vina ofisi zake hapohapo. vipo tayari kwa biashara japo vinaitaji marekebisho madogomadogo. asante kwa ushirikiano

    Like

    godfrey hossa

    October 29, 2015 at 10:10 pm

   • godfrey hossa

    October 31, 2015 at 1:48 pm

  • Mkuu Benson tufahamishane mahali unapofugia, mimi ndiyo nataka kuanza ufugaji hivyo ningependa kupata mbegu bora ya kuku. Aidha ningependa kujua kama nikikuletea mayai unaweza kunitotolea au kama unaruhusu kuniuzia mayai na kisha ukanitotoleshea kwa mashine yako mwenyewe kwa malipo. Nifafanulie mambo hayo kutumia namba yangu 0756 399 070 au kwa email yangu gvyagusa@yahoo.com.

   Natanguliza shukrani

   Like

   GUBAS VYAGUSA

   May 11, 2012 at 10:14 am

  • phn number plz?

   Like

   isaac afwamba

   December 23, 2013 at 4:45 pm

  • Asee unapatikana wapi maana nipo dar nahitaji chotara weusi hao kama 100.

   Like

   zanibu

   August 16, 2015 at 7:16 am

 2. Hallo wafugaji wenzangu, mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji , nataka kuanza kufuga kuku wa mayai 400. Nahitaji kupata kuku wa mayai ambao wapo tayari kwa kutaga na sio vifaranga. Naomba msaada wenu kwa anayefahamu wapi naweza kupata kuku hao ambao wapo tayari kutaga na bei zake. Asante, .

  Like

  Tina

  June 9, 2012 at 1:31 pm

 3. ningeomba bwana Benson tuwasiliane tujue tunasaidianaje hapo mana hata mm pia ndo naanza kufuga namba yangu ni 0718326421

  Like

  abuu

  October 6, 2012 at 9:47 am

 4. Deo Mimi nahishi kahama shinyanga nina eneo zuri la kufugia kuku wa kienyeji nataka kujua kama unaelewa sehemu karibu na huku naweza pata mbegu nzuri ya kuku wa kienyeji.
  namaba yangu ni 0655742024.
  Regards.

  Like

  Tony

  December 4, 2012 at 3:53 pm

  • Ndugu Tony, karibu sana. Kwa vile umeweka suala lako kwenye jukwaa hili, naamini kuna mdau atakayekujibu na kukupa maelekezo fasaha kwa hilo ulilouliza. Vinginevyo, unaweza pia kupitia taarifa mbalimbali za ufugaji kuku ambazo tumeweka kwenye blogu hii na bila shaka utapata majibu. Karibu sana mdau.

   Like

   simbadeo

   December 5, 2012 at 12:31 am

   • kuna bwana mmoja yuko ofisi ya kilimo kahama anaitwa Peter Mussa anajua wapi utapata mbegu ya kuchi wa kisukuma ni wazuri saana wanataga mayai mengi mpigie 0754430334

    Like

    Atupele

    December 10, 2012 at 4:47 pm

   • Ndugu Atupele, asante kwa taarifa. Naamini ndugu yule wa Kahama aliyekuwa akiulizia amepata jibu hapa. Asante sana.

    Like

    simbadeo

    December 10, 2012 at 8:10 pm

   • Bwana Simbadeo

    Nauliza je TZ kuna chama cha wafugaji kuku?, kama ilivyo wnezetu Kenya,Zambia n.k.?

    Like

    Atupele

    December 13, 2012 at 4:59 pm

   • Huyu bwana wa Kahama tumewasiliana na sasa anafurahia ufugaji wa kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Pamoja naye pia nimepokea mahitaji mengi toka watu mbalimbali. Nawakaribisha sana katika uendelezaji wa kuku wa kienyeji hususani kuchi. Pamoja nami pia waweza kuwasiliana na Raphael Masanja 0756662294 yeye yupo Ushirombo Bukombe.

    Like

    Peter Musa

    April 1, 2013 at 1:54 pm

   • Asante sana Ndugu Peter Musa kwa taarifa hizi za kutia moyo. Naam, hakuna lisilowezekana! Pamoja sana!

    Like

    simbadeo

    April 2, 2013 at 10:06 pm

 5. Ndugu zangu nampango wakufuga kuku wakienyeji kibiashara nategemea kuanza na kuku 100. Ningependa kufahamu vitu vifuatavyo 1. Ukubwa wa banda(vipimo) 2. Kiwango cha chakula kwa siku kwa kuku 100(kg) 3. Je wanafaa kupewa chakula kama walacho wakisasa 4. Ni aina gani nzuri kwakutotoa mayai mengi, ipi nzuri kwa ukubwa na unzito 5. Je ni kweli ni vigumu kumanage kuku zaidi ya 20000 kwa wakati mmoja 5. Rate ya vifo japokuwa unawapa dawa na chanjo kwa wakati 6. Gharama za incubator ni sh ngapi kulingana na uwezo wake.? Ni hayo tu. Napenda kujiajiri kwani naamini ndio njia pekee yakutimiza malengo yangu.

  Like

  malima

  December 28, 2012 at 12:52 am

  • Ndugu Malima

   Karibu sana. Endelea kuchimba zaidi taarifa mbalimbali zilizo kwenye jukwaa hili, naamini utapa majibu kwa maswali yako.

   Like

   simbadeo

   December 28, 2012 at 11:28 pm

 6. Pia tembelea hapa http://www.achengula.blogspot.com/ ujipatie elimu bure ya ufugaji wa mifugo ya aina mbalimbali na jinsi ya kukabiliana na magonjwa ya mifugo

  Like

  Augustino

  May 5, 2013 at 12:47 pm

 7. Hi I am intrested in doing trading business of broilers chickens n mayai ya kuku za kisasa pls if u can help me to get the supplier list so I can start looking for the market n if its works out so can think of starting poultry farm pls reply thanks

  Like

  Shabbir Taherali

  June 10, 2013 at 11:43 am

 8. samahan,nimependa ih blog,naomben mnisaidie kwa iringa au mbeya ntapataje hao kuku wa guchi? naomb nipate jibu kupitia fmwakijebele@gmai.com ahsanteni

  Like

  FRANKY

  August 11, 2013 at 1:29 am

 9. kaka mimi niko ndanda mtwara nina mashine ya kuangulisha vifaranga lakin sina chanjo ya marex (mahepe) unanisumbua sana ugunjwa huu wakifia umri wa wiki nane wanakufa sana nasijui kwa kuipata. naomba msaada wako 0759224748

  Like

  alfa mbaga

  December 9, 2013 at 10:06 pm

 10. Habari,mimi naishi mbeya natafuta vifaranga au mayai ya KUCHI.namba yangu ni 0758221652.

  Like

  Chrispin mwamwezi

  January 28, 2014 at 3:50 am

 11. Tapataje kuku aina ya kuchi 15(mitetea 13 na jogoo 2) nipo songea mjini.

  Like

  ngosha

  February 1, 2014 at 10:25 pm

 12. Natafuta kuku wa kuyaga mayai ya blue he nitapata wapi? Nipigie mwenye taariga muhimu simu namba 0755022238

  Like

  Johnson

  February 15, 2014 at 7:33 pm

 13. Habari zenu wadau,nimekuwa nikifuartilia blog nyingi na nikchukua contacts za wataalam na wafugaji wa kuku kuomba msaada wa kupata vifaranga.Ila hadi Leo sijafanikiwa kupata majibu na hata nikipiga naambiwa nitafute kesho,kesho imekuwa kesho.Mwishoe nimeamua tu kununua kuku wanaokaribia kutaga ,kuku wa Malawi na jogoo moja nianze mwanzoo peke yangu!!!

  Like

  Dommy Simon

  February 25, 2014 at 4:54 pm

  • Ndugu Dommy. Pongezi kwa hatua uliyofikia. Pole kwamba pengine hukupata majibu ya haraka na moja kwa moja kwa maswali uliyokuwa nayo. Ila ninaamini, kama umesoma makala zote kuhusu ufugaji kuku katika blog hii, bila shaka una maarifa mengi sana ya kukuwezesha kuanza ufugaji pasi na shaka. Usikate tamaa. Umeyavulia maji nguo, huna budi kuyaoga. Huo ni ujasiri wa hali ya juu — yaani hatua uliyochukua.

   Kila la kheri.

   Like

   simbadeo

   February 28, 2014 at 8:42 am

 14. naombeni wadau kama kuna anaejua wanapo patikana jogoo wekundu hapa geita anijulishe kwa 0754509703au0689391688 shuklani.

  Like

  michael

  March 27, 2014 at 11:56 pm

 15. Kaka mi nafuga ila tatizo langu ni kupata mashine ya kuangulia vifaranga ya kutumia mafuta ya taa,kama kuna mdau yeyote anayejua zinapopatikana anisaidie.namba yangu ni 0715738347

  Like

  abdulnasir

  April 22, 2014 at 4:32 pm

  • Ndugu Abdul Nasir na wadau wengine. Hapa kuna namba unazoweza kujaribu kupiga ili kupata mashine za incubation. Sijapiga namba hizo muda kidogo, ni matumaini yangu kuwa bado zinapatikana: 0717 621777 na 0754 502805. Pengine namba hii vilevile 0718203221.

   Kuhusu upatikanaji wa vifaranga chotara. Jaribu namba hii: 0784 290808.

   Asanteni na tuendeleze jitihada hizi. Pamoja sana.

   Like

   simbadeo

   April 26, 2014 at 12:53 pm

 16. habari za usiku,mimi ni mjasiliamali mdogo ninaishi arusha,nilikuwa nafuga kuku wa mayai wa kisasa,kwa sasa nimewauza hivyo nataka kuanza kufuga kuku wa kienyeji kwa kutotolesha mwenyewe kwa kutumia incubator.ni wapi naweza kupata mayai ya kienyeji ya kuku aina ya kuchi na dorep yaliyorutubishwa ili nianze kukamilisha ndoto yangu.
  Mjasiliamali anaefaham naomba anijulishe kupitia email addresss cradleofhopetanzania@yahoo.co.uk pia namba yangu ya sim ni 0753 630609.

  kuku asilia

  Like

  kuku asilia

  May 23, 2014 at 12:51 am

  • Unahitaji mayai aina ya kuchi au majogoo chotara ? kama ndio tuwasiliane kwa 0762664099

   Like

   manuel

   July 3, 2015 at 10:53 am

 17. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa na wa nyama nataka kufuga kuku chotara na kuchi. Naishi usa river Arusha.Na 0782504470

  Like

  Joshua Kiwovele

  May 30, 2014 at 6:25 pm

 18. Mimi mfugaji wa kuku wa kisasa na wa nyama nataka kufuga kuku chotara na kuchi. Naishi usa river Arusha.Na 0782504470

  Like

  Joshua Kiwovele

  May 30, 2014 at 6:26 pm

 19. imekaa poa sana hii

  Like

  dav mushi

  June 9, 2014 at 1:08 pm

 20. Natafuta jogooo kuchi ! Nipo dar 0757487611 !

  Like

  Ahmed Saleh Shams

  September 11, 2014 at 11:15 am

 21. natafuta kuku wa kienyeji wadogo wadogo wanao karibia kutaga kwa ajiri ya kufuga nipo njombe.

  Like

  ZAKAYO

  June 18, 2015 at 7:15 pm

 22. singida nitapata wapi kuchi ?

  Like

  nzaga

  October 7, 2015 at 10:56 am

 23. Aslkm ndugu zangun nipo tanga natafuta mayai bora ya chotara wekundu au weusi

  Like

  Jamaaliddiin

  December 14, 2015 at 10:18 pm

 24. kwa kampuni inayotafuta mfanyakazi utaalamu wa kuku 0686724616

  Like

  daniel odeny

  April 19, 2016 at 4:26 pm

 25. ninao kuku wakienyeji wanao karibia kutaga kama unahitaji 0763104479

  Like

  mariam mbuji

  August 31, 2016 at 10:24 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: