simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bodaboda … akina dada hawapo nyuma

leave a comment »

“Wanawake na maendeleo … tusonge mbele … tusirudi nyuma eeh! Yelele yelele wanawake … maendeleo … eeh!

Well, nadhani sijapata maneno yenyewe ya ule wimbo. Lakini ni kusindikiza picha ya mwanadada huyo niliyekumkuta leo pale Tazara kwenye foleni akimiliki usukani wa bodaboda aina ya Honda. Wanawake hawako nyuma siku hizi … nadhani huu ni mwanzo tu … baada ya muda tutakuwa tunakula nao misele kwa bodaboda!

Advertisements

Written by simbadeo

January 28, 2011 at 6:02 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: