simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kwa wafugaji … enjoy

with one comment

Ikiwa wewe ni mfugaji wa kuku wa kienyeji (au kuku kwa ujumla), bila shaka kuku hawa watakutoa mate … au siyo?

Vilevile wewe kama ni mfuga mbuzi … utawatamani hawa …

Kama ni mfugaji wa ng’ombe … naamini utawapenda hawa …

Mara nyingine tunajifunza kwa kutazama tu picha na kuzifurahia. Macho yanapoona, akili nayo inafanya kazi. Tunaweza sote kutazama kitu kimoja lakini kila mmoja akatoka na somo lake kutokana na hicho tunachokitazama. Hili ndiyo fumbo la ‘uwezo wa akili ya binadamu’. Tuendelee kuwepo.

Advertisements

Written by simbadeo

January 24, 2011 at 12:53 pm

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. nimejifunza kupitia macho na subiri baraka kutoka kwa mungu mbarikiwe.

    Like

    mussa mwakatobe

    February 15, 2012 at 11:28 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: