simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bidhaa za nyumbani kwanza …

leave a comment »

Mheshimiwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, ameanza kupigia chapuo Watanzania kupenda kununua bidhaa za nyumbani. Ama kwa hakika hili ni jambo la kuungwa mkono na wote. Tusahau itikadi zetu za kisiasa na tujitahidi kuelewa mantiki ya kile anachokisema. Tukitoa kipa umbele katika kununua vya nyumbani kwetu … tunasaidia kukuza masoko ya bidhaa zetu hizo … hii ina maana kukuza mitaji ya biashara zinazoendeshwa hapa nchini … maana yake ni kukua kwa biashara hizo na hivyo kuajiri watu wengi zaidi … na kodi zaidi kwa serikali yetu … Tushikamane … ndiyo njia moja kuu ya kuushinda umaskini.

Advertisements

Written by simbadeo

January 11, 2011 at 12:00 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: