simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Naweza kusoma …

leave a comment »

Naweza kusoma … ndivyo anavyoonekana kusema …

Hiki ndiyo kipindi wazazi wanapeleka watoto wao shuleni … wenye kufikiria kuwapeleka shule za binafsi … hiki ndiyo kipindi cha kuchagua shule … shule nazo ziko kwenye hekaheka kujitangaza

Ule msemo wa wahenga wetu ‘Chema chajiuza, kibaya chajitembeza’ huwekwa kwenye matendo. Ni vema wamiliki wa shule binafsi wakakazania ubora wa elimu wanayotoa … kwani hiyo ndiyo kigezo kikubwa wanachotumia wazazi katika kuamua watoto wao wawapeleke shule gani.

Advertisements

Written by simbadeo

January 4, 2011 at 5:56 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: