simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tina Bahati … miaka 3

leave a comment »

Tina-Bahati katika pozi la aina yake …

Tina-Bahati (katikati) akiwa na ndugu zake, Martin (kushoto) na Cecilia (kulia) … ni hekaheka kwa kwenda mbele.

Symbolic … fujo tupu …

Ndiyo, leo tarehe 28. Dec 2010, Martina-Bahati (Tina), ametimiza miaka 3 tangu kuzaliwa. Ni ajabu jinsi wenzetu hawa digidigi wanavyokua haraka … kutoka kwenye upole na haiba isiyotabirika hadi katika utundu na ‘kujua sana’ … ama kweli siku zinakwenda … sasa hivi nasi tutabisha hodi bodi ya mikopo kwa elimu ya juu …

Advertisements

Written by simbadeo

December 28, 2010 at 11:49 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: