simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Merry Christmas … Heri ya Noeli …

with 2 comments

This is to wish all readers and visitors of this blog a Merry Christmas and a Very Happy New Year 2011. The tree above is what we commonly refer to as Christmas Tree in our part of the world. The reason being … it blossoms at this time of the year and decorates streets and wherever it is planted.

Napenda kuwatakia wasomaji wote wa blogu hii Heri ya Noeli na Baraka za Mwaka Mpya 2011. Wakazi wengi wa ukanda huu wa dunia watakubaliana na nami kwamba mti huo hapo juu ndiyo hasa Mti wetu wa Krismas … maana hutoa maua hayo mazuri ya kupendekeza katika kipindi hiki cha mwaka na hivyo kupendezesha mandhari ilimopandwa miti hiyo … mitaani na kwingineko.

Merry Christmas …. Happy New Year 2011 … Heri ya Noeli … Baraka za Mwaka Mpya 2011.

Advertisements

Written by simbadeo

December 24, 2010 at 10:09 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Sasahivi naona mambo yamekuwa kichwa chini miguu juu, kwani hatakulekwetu Moshi huu mti hapa juu huwa tunauita m x-mass, naona huku bongo mwerenzi wanauita mx-mass. Nakipindi kama hiki unachanua vizuri na kuwa na kivuli kizuri ikiashiria kabisa mkombozi amezaliwa. Haya sijui ndio kuiga au!!!!!!

  Like

  dorine

  December 24, 2010 at 5:47 pm

 2. NICE WORK

  Like

  Einoth h mollel

  December 24, 2013 at 12:03 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: