simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bro William Muchunguzi … alivyozikwa

leave a comment »

Bro William Muchunguzi katika picha ndogo iliyobebwa hapo kulia

Sehemu ya umati ulioshiriki katika ibada ya misa ya kumwombea marehemu

Ibada ya misa iliongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la DSM, Mh S. Libena …

Baadhi ya mapadre wakikomunika …

Kuelekea makaburini …

Hatimaye amelala hapa …

Baadhi ya Wana-Maua wa zamani walioshiriki kwenye mazishi ya Bro William

Brother William Muchunguzi alikuwa mtawa wa Shirika la Wafransisko Wakapuchini. Alizaliwa tarehe 8 – 8 – 1954 huko Kagera na alifariki tarehe 17 – 12 – 2010. Moja ya kazi alizopata kufanya ni pamoja na kufundisha katika Seminari ya Maua iliyopo Moshi Vijijini. Amefanya pia kazi nyingi mbalimbali kama mtawa katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. R.I.P. Bro William.

Advertisements

Written by simbadeo

December 22, 2010 at 12:21 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: