simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

George Mosenya …

leave a comment »

George akiwa katika pozi mbalimbali nilipokutana naye pale Canteen ya Msimbazi Centre hivi karibuni. Moja ya umuhimu wa Facebook ni networking. Nilimfahamu George kupitia Facebook. Alipokuja Dar alinifahamisha. Tukapanga miadi. Tukakutana. Tulizungumza mengi. Zaidi sana ilikuwa kuhusu ulimwengu wa vitabu. Nilifurahi kuzungumza na kijana mwenye ari ya ‘kuthubutu’. Haogopi kushindwa. Zuri zaidi ni kuwa anapenda kuthubutu katika mambo ambayo ni ‘positive’ kwa jamii. Unapokuwa naye, huchoki kuzungumza naye. Ni mdadisi na mwenye kiu ya kutaka kujifunza. Sisi wa umri wa kati tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa vijana wanaochipukia siku hizi … ingawa nasi tuna mengi ya kuwafundisha. Kikubwa ni mshikamano, uelewano na sote kuwa na uzalendo na uchungu wa kuona kwamba Taifa letu linapiga hatua kubwakubwa za kimaendeleo na maisha ya watu yanapata ubora unaotukuza utu wao. Thank you George for the opportunity of knowing you!

Advertisements

Written by simbadeo

December 16, 2010 at 9:34 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: