simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ufugaji kuku … taswira

with 16 comments

Sehemu ya banda la kufugia kuku, lina sehemu mbili … ya kufugia kuku na ya kuishi watumishi katika mradi.

Vifaranga wenye umri wa wiki moja

Hawa wana umri zaidi kidogo … miongoni mwao kuna kanga wadogo

Hawa wana wiki 10 …

Kwenye banda la vifaranga …

Kuku wakubwa wakiwa nje … Kabichi/Kabeji ni chakula wanachokipenda sana

Wakubwa nje …

Kuku wakubwa wakiwa nje chini ya kivuli … kuwa nje kunawasaidia kupata nafasi ya kufanya mazoezi … ambalo ni jambo muhimu kwa kuku wa mayai.

Mbegu mpya ya bata … diversification katika ufugaji (mbinu ya kijasiriamali)

Baada ya jasho, inafuata kazi ya kuhesabu ‘faida’ …

Picha zote ni kwa hisani ya Jane Mgaya. Kwa ujumla banda lake lina uwezo wa kutunza hadi kuku 800. Yeye anawatia moyo wafugaji kuku kuendelea na ufugaji na anawakaribisha wale wanaotaka kuanza kufuga kufanya hivyo. Kwa maoni yake, mtu aliye tayari kuthubutu kufuga si lazima aanze na mtaji mkubwa sana. Anaweza kuanza kidogokidogo na hatimaye mradi wake utakua na kufikia kiwango cha kati kama si cha juu kabisa. Kikubwa ni kuwa mtundu, kutafuta habari, kutafuta nyongeza ya ujuzi na uzoefu na kutokukata tamaa. Asante sana Da Jenny kwa kutushirikisha picha hizi. Naamini wengi tutajifunza mengi kutoka kwenye picha hizo.

Advertisements

Written by simbadeo

December 7, 2010 at 9:54 am

Posted in Siasa na jamii

16 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. da jane mgaya naomba tuwasiliane kwa namba hii 0715549140

  Like

  da mariam

  January 31, 2011 at 4:32 pm

 2. Nimepania kuwa mfugaji wa hawa ndege hivi karibuni. Nitahitaji sana ushauri wako ndugu

  Like

  Stoni

  July 15, 2011 at 10:09 pm

  • Ndugu Stoni karibu sana katika jukwaa hili. Hapa kila mmoja ni mwalimu, kila mmoja ni mwanafunzi. Sote tunafundisha na sote tunajifunza. Uanachama ni bure. Kila mmoja anaruhusiwa kuingia na kufundisha yale anayofahamu kuhusu ufugaji kuku na pia kuuliza maswali mengi kadiri anavyoweza katika eneo hilo. Kwa njia ya kuuliza maswali, basi watu tunachangiana majibu na jinsi ya kukabili changamoto mbalimbali. Karibu sana.

   Like

   simbadeo

   July 15, 2011 at 10:20 pm

 3. nampango wa kufuga kuku wa kienyeji
  wadau naombe ushauri wa kitaalamu

  Like

  Albert mahoo

  September 8, 2011 at 1:58 pm

  • Ndugu Albert. Karibu sana katika jukwaa hili la wajasiriamali. Tunakupongeza kwa nia yako ya kujishughulisha na ufugaji kuku wa kienyeji. Pengine nikushauri usome makala zote zilizo kwenye ukurasa wetu huu wa Ufugaji Kuku na kisha uulize maswali katika maeneo ambayo utapenda kupata msaada zaidi. Vinginevyo, jukwaa hili ni huru na kila mmoja wetu ni mwalimu na pia ni mwanafunzi. Kujifunza hakuna mwisho. Karibu sana jukwaani.

   Simba Deo

   Like

   simbadeo

   September 8, 2011 at 10:47 pm

 4. Da jane mgaya, naomba tuwasiliane kwa namba 0769767227 kwani nataka kuanzisha ufugaji wa kuku. nadhani wewe utakuwa msaada mkubwa kwangu

  Like

  HAMISI NAMELE

  January 11, 2012 at 1:44 pm

 5. Wadau,napenda ufugaji tatizo mtaji mdogo
  Nina eneo langu binafsi lipo Mapinga lina ukubwa wa heka moja na pia jirani ni eneo la mdogo wangu nalo lina ukubwa wa heka moja ambalo lipo wazi tu halitumiki kwa chochote.
  Kama kuna mtu anaependa ufugaji wa kuku naomba tuwasiliane tuunganishe nguvu tufanye pamoja kwa makubaliano ambayo tutaafikiana ili kuwepo uamninfu.
  Namba yangu ni 0772 985 579

  Like

  Patra

  May 6, 2012 at 11:10 am

  • Patra

   Karibu katika jukwaa hili. Naamini wadau watajitokeza ili kuanzisha mradi wa pamoja wa ufugaji. Jamani, ulimwengu wa sasa unakwenda kwa ubia … ubia katika kutafuta na kukuza mtaji, network ya kusaidia biashara kukua n.k. Kwa hiyo, wazo la Patra ni zuri sana. Karibuni mchangie na kuwasiliana naye. Ila Patra, huko Mpinga ni wapi katika ulimwengu huu? Tafadhali fafanua.

   Like

   simbadeo

   May 6, 2012 at 2:35 pm

 6. wadau nomba ushauli kwani unapo azakufuga atakama bada ni jipwa untakiwa kupuliza dawa. au aina aja.

  Like

  freddy.

  July 20, 2012 at 2:05 am

  • wadau nomba ushauli kwani unapo azakufuga atakama banda ni jipya untakiwa kupuliza dawa. au aina aja.

   freddy.

   July 20, 2012 at 2:05 am

   Like

   freddy.

   July 20, 2012 at 2:47 am

 7. hongera kwa ujasiriamali mzuri.naombaa kujua au kuona picha za viota vizuri vya kutagia kuku

  Like

  happygod

  April 30, 2014 at 8:55 pm

 8. mungu awabaliki kwani mnatufunza vingi sana

  Like

  luiza

  June 3, 2014 at 5:39 pm

 9. Napenda hii shughuli lkn sina eneo,sijajua mtaji ni kiasi gani ili niweze kuanza. Kwa kifupi nahitaji maelezo na msaada wa ziada.

  Like

  Jamila

  September 19, 2014 at 4:10 pm

 10. Ufugaji una changamoto zake komaa

  Like

  LACKSON KIBONA

  August 15, 2015 at 12:29 am

 11. Naitaj vifaranga 100 vya kuku wa mayai

  Like

  Nickson mkama

  September 11, 2015 at 11:32 pm

 12. Pata incubator full automatic kwa ghalama nafuu sana mashine ya mayai 500 laki 9 full automatic 0754078015

  Like

  gimase

  November 15, 2015 at 8:39 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: