simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Julius Nyerere … alimoishi Pugu

with 2 comments

Mlango wa kuingilia ofisi kuu ya Shule ya Sekondari Pugu

Mandhari nje ya madarasa …

Nyumba aliyoishi Mwalimu Julius Nyerere inavyoonekana kutoka upande wa Magharibi …

Nje unakutana na kibao hicho cha kumbukumbu …

Pia kuna kibao hichi …

Sebuleni tunakaribishwa na Athumani na Mama yake … hawa pamoja na baba wa familia (hayupo kwenye picha) ndiyo wanaoishi hapo hivi sasa …

Katika chumba alimokuwa akiishi Mwl Nyerere, kuna hii picha kubwa inayowaonyesha Hayati Rashid Mfaume Kawawa (kushoto), Hayati Julius Nyerere (katikati) na Mzee Aboud Jumbe (kulia).

Upande wa mbele kutokea Mashariki …

Mazingira ya shule …

Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliishi katika mazingira ya Shule ya Sekondari ya Pugu (zamani ikijulikana kama St Francis School) kuanzia mwaka 1952 hadi 1955. Aliishi katika nyumba hiyo ndogo (vyumba vitatu vya kulala) katika vilima tulivu na vya kuvutia vya Pugu. Hilo ni eneo lenye historia motomoto. Hapa kulishuhudiwa mkabiliano wa kiutamaduni – wa Kizungu, wa Kiarabu na wa Wenyeji (Wazaramo). Katika karne ya 19 kuna watawa waliouwawa katika vilima hivyo. Utakuta makaburi yao. Kwa hiyo ni eneo muhimu kutembelea. Kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam mpaka kwenye vilima hivyo ni takribani kilometa 20, kumbe basi panafikika na usafiri ni mwingi. Si mahali pa kupotea. Tujifunze historia yetu na wapi tunatoka.

Advertisements

Written by simbadeo

December 7, 2010 at 10:23 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Asante kwa kumbukumbu hii.

  Like

  Jenny

  December 7, 2010 at 10:46 am

  • Asante Da Jenny. Ni eneo zuri kutembelea. Ukiwa kwenye vilima vya Pugu, Dar es Salaam unaitazama kwa chini. Upande wa mkono wa kulia unaona makazi mapya – Majohe. Ni mandhari ya kupendeza. Unaweza pia kuona jiji linavyopanuka kwa kasi.

   Like

   simbadeo

   December 7, 2010 at 11:40 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: