simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Graduation … nyingi leo

leave a comment »

Unapoingia lango kuu …

Wahitimu na wenzao … wakisubiri mambo yaanze

Baadhi ya wazazi waliokwishawasili

Haya kazi imeanza … skauti wa shule

Wazazi wakielekea madarasani kukagua shughuli za kimasomo …

Haya, kuanzia computer lab wanafunzi wanavyozinyanyasa computer mpaka maabara ya sayansi …

Na mandhari ya kuvutia …

Mzazi mwingine akiingia pamoja na mwanafunzi mtarajiwa …

Ndiyo. Leo kuna shughuli nyingi sana Dar es Salaam zinazohusiana na mahafari (hasa katika ngazi ya vyuo vikuu). Hii nayo imeanza kuwa phenomenon ya aina yake – huambatana na foleni nyingi katika maeneo mengi ya jiji na sherehe pia. Ni jambo jema sana kuhitimu – ila tusianze kujisahau mpaka kufikia hatua ya kutumia pesa nyingi sana katika sherehe wakati hata ununuaji vitabu bado unatupa shida tulio wengi – kwa ngazi ya vyuo – wengi mtakumbuka kwamba wengi wanahitimu kwa kutumia ‘desa’ tu na wala si vitabu vyenyewe. Kumbe basi tusherehekee kuhitimu kwa kuenzi vitabu kwa kuvinunua na kuvisoma.

Advertisements

Written by simbadeo

November 27, 2010 at 6:12 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: