simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Highland Studio … kwa rekodi yenye akili ya muziki

with one comment

Upande wa Barabarani … Mkurugenzi yuko nje akizungumza na simu

Mkurugenzi, Bw. Richard Mloka, akiwa mitamboni …

Mapokezi … kwa vile ni Jumapili … anayehusika leo hayupo.

Appetizer ya sanaa …

Mnanda katika auditorium (chumba chenyewe hasa cha kazi) …

Hebu utazame vizuri huo mtambo … ni wa nguvu

Nami nikaona nijipendekeze kuuza sura … T-shirt hiyo ni kwa hisani ya MANENO.ORG watafute ili wakupe fursa ya kuanzisha blogu yako. Uki-google maneno.org utawapata.

Jumapili ya jana nilipata fursa ya kumtembelea rafiki na school mate wangu, Bw. Richard Mloka, anayemiliki na kuendesha Highland Studio. Studio yake ni maalumu kwa ajili ya kurekodi muziki … wa kila aina … na video pia wanafanya. Nilijifunza mengi … kubwa sana … muziki kama kazi ya sanaa ni kazi inayohitaji umakini wa hali ya juu … ukibabaisha basi ndiyo kazi/sanaa yako inadumu sokoni kwa wiki moja tu na kisha inapeperushwa na upepo. Kama wewe ni mwanamuziki na unataka kurekodi kazi yenye akili, nenda Highland Studio. Ipo katika barabara inayounganisha Tabata na Kigogo. Hutapotea.

Advertisements

Written by simbadeo

November 22, 2010 at 10:51 am

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Naamini kabisa kazi za Kaka Richard zitakuwa bomba kwani tangu nimfahamu kwa mara ya kwanza, Maua Seminari, alikuwa nadhifu saana, na balaa kwny kinanda

    Like

    Arthur Temba

    December 31, 2010 at 7:08 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: