simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Parapanda … Mgunga

leave a comment »

Nilipata mgeni ofisini … si mwingine ila ni mkongwe wa sanaa za maonyesho nchini Tanzania, Mgunga wa Mnyenyelwa. Ni miaka mingi tangu tulipozungumza mara ya mwisho. Nilifurahi kuzungumza naye tena … hasa kuhusu sanaa na kazi za sanaa. Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwake. Litafute kundi lake la Parapanda … fuatilia kazi zao … utagundua kwamba kuna wasanii walio makini na kazi yao hapa nchini … na hawa wanaongoza.

Advertisements

Written by simbadeo

November 16, 2010 at 11:18 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: