simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kuapishwa … Robert Mugabe shuhuda

leave a comment »

Gari maalumu aliloingia nalo Mzee Robert Mugabe wa Zimbabwe …

Watu katika hekaheka ya kuingia ndani ya Uwanja wa Uhuru ili kushuhudia kuapishwa kwa Rais Jakaya Kikwete …

Kuuza na kununua … ni matukio yaliyokuwa yakiendelea

Uwanjani … mashuhuda

Alipowasili Rais Mteule …

Kutoka kona mbalimbali … ndani na nje ya Uwanja wa Uhuru

Miongoni mwa yale aliyoyasema Mh Rais Kikwete baada ya kuapishwa ni:

1. Upinzani umeipa changamoto kubwa sana CCM katika uchaguzi huu, kumbe ni wakati sasa CCM ijipange upya

2. Ameahidi kuchukua mambo mazuri yaliyozungumzwa na vyama vya upinzani wakati wa kampeni na vilevile yaliyo kwenye ilani zao za uchaguzi

3. Ameahidi kutekeleza ahadi zote alizozitoa wakati wa kampeni kwa umahiri na weledi mkubwa

Hayo ni baadhi tu ya yale aliyoyazungumza kwenye hotuba yake. Kama kawaida … sisi wengine ni kufuatilia namna gani anatekeleza yale aliyoyaahidi kwetu. Yote ni katika kuhimizana na kukosoana ili Taifa letu lipate kusonga mbele hasa katika kupiga vita maadui zetu wakuu: umaskini, maradhi, ujinga na (siku hizi) ufisadi.

Advertisements

Written by simbadeo

November 6, 2010 at 12:52 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: