simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

72 hours later …

leave a comment »

Bendera ya Taifa imeanza kupepea kwenye nguzo zilizo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere – dalili kwamba nchi inajiandaa kupokea ugeni mzito kutoka mataifa mbalimbali … tukio la kuapishwa ambalo bila shaka liko karibu.

… saa zaidi ya 72 za kufuatilia matokeo si mchezo … nature lazima ichukue nafasi yake … usingizi na kalamu mkononi … uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa kila mmoja mpaka watoto … huyu naye alikuwa ananiuliza kwa nini yeye hajaenda kupiga kura ili naye apakwe wino kwenye kidole chake … kazi kwelikweli kizazi cha 2015 kitakuwa kingine kabisa … tusubiri na kuona …

Advertisements

Written by simbadeo

November 3, 2010 at 9:48 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: