simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Uchaguzi … ndani ya saa 48 baadaye

leave a comment »

Wapo walioanza kushangilia ushindi hata kabla ya matokeo kuthibitishwa … Wapo waliojikusanya katika vituo vya kutangazia matokeo. Swali kubwa ni kwa nini matokeo yachelewe kutangazwa kiasi hicho? Je, Dar es Salaam ambayo haina kusafiri zaidi ya kilometa 30 huku na huko … kwa nini matokeo yachelewe? Kunani? Hili limekuwa swali kubwa miongoni mwa watu wengi … na hatimaye watu wanapoteza subira na matokeo yake ni kukimbizana na polisi na kulipuana kwa mabomu ya machozi. Tumesikia habari za utupaji mawe kule Kibaha. Yanayoendelea hivi sasa katika maeneo mbalimbali ya nchi hayapendezi … kwa maneno mengine … yanatuelekeza kusiko. Mabadiliko ndiyo … kubadilika ndiyo maendeleo … lakini ni vema yawe mabadiliko/maendeleo yanayofuata kanuni na miongozo maalumu. Busara itumike kwa pande zote zinazohusika na si jazba.

Advertisements

Written by simbadeo

November 2, 2010 at 11:40 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: