simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Uchaguzi … taswira

leave a comment »

Ilikuwa wakati wa kusubiri muda wa kuanza kupiga kura …

Ujumbe mzito kupitia vazi la khanga … ujasiri … ilikuwa ni katika mstari wa kwenda kupiga kura

Utafutaji wa majina kabla ya kuingia kupiga kura …

Ulinzi ulikamilika … hadi mgambo wa jiji walishiriki

Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na mambo mengi. Tukitazama moja katika mambo hayo mengi lile la ulipuaji mabomu ya machozi. Miaka ya nyuma mambo hayo yalikuwa yakitokea Zanzibar na pengine jijini Dar es Salaam, lakini safari hii hali hiyo imejitokeza hata katika maeneo ambayo mtu usingeyafikiria: Songea Mjini, Wilaya ya Mbozi, Mbeya Mjini, Dar es Salaam, Arusha Mjini, Mwanza, n.k. Ipo haja ya kutazama sababu za kufikia utumikaji wa nguvu kama huu na namna gani unaweza kuepukwa kwa siku za usoni. Haipendezi. Wanaoathirika na uamuzi kama huo … mara nyingi si wale wanaotuhumiwa kufanya fujo mitaani … bali wakazi wa maeneo ambapo ulipuaji maboma hayo hufanyika wakiwemo wazee, watoto, walemavu, wagonjwa, wafanyabiashara, wafanyakazi, wapita njia n.k. Hekima ni muhimu zaidi na inafaa tuitumie zaidi kuliko mabavu.

Advertisements

Written by simbadeo

November 1, 2010 at 11:15 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: