simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tandika yawa shwari …

leave a comment »

Eneo la Tandika Sokoni, maeneo ya biashara yakiwa bado yamefungwa kwa sababu ya vurugu zilizokuwepo kati ya saa 4 asubuhi na saa 7 mchana. Mpaka kamera yetu inafika eneo hilo majira ya saa 11.30 jioni, hali ilikuwa imerejea kuwa shwari ingawa maduka yaliendelea kufungwa bado.

Viunga vya jirani na Soko la Tandika hali ilirejea kuwa shwari na watu waliendelea na shughuli zao kama kawaida zikiwemo shughuli za michezo katika viwanja vya Mwembe Yanga.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Jeshi la Polisi linawashikilia watu 21 kuhusiana na fujo zilizotokea leo pale Tandika Sokoni.

Advertisements

Written by simbadeo

November 1, 2010 at 10:49 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: