simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ali Mohamed Shein … ni yeye Zanzibar

leave a comment »

Tume ya Uchaguzi Zanzibar imemtanganza Mh Dkt Ali Mohamed Shein wa CCM ndiye Rais Mteule wa Zanzibar baada ya kushinda jumla ya asilimia 50.5 ya kura zote zilizopigwa visiwani humo. Mpinzani wake kutoka chama cha CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amepata jumla ya asilimia 46.5. Tayari Maalim Seif amekubali matokea hayo. Dkt Shein amesema kwamba serikali yake itakuwa na changamoto kubwa hasa kwa kuzingatia maridhiano ya siku za karibuni ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

Hongereni sana Watu wa Zanzibar kwa matokeo hayo ambayo yamekuja yakiambatana na amani zaidi kulinganisha na chaguzi zilizowahi kufanyika siku za nyuma chini ya mfumo wa vyama vingi.

Picha ni kutoka kwa MichuziBlog.

Advertisements

Written by simbadeo

November 1, 2010 at 11:36 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: