simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Heri ya uchaguzi mkuu kwa Watanzania na wapenda amani na haki wote …

leave a comment »

Kwa heshima na taadhima, ninawatakia Watanzania wenzangu wote amani, salama, utulivu na haki katika siku ya kuchagua viongozi wetu wakuu na wawakilishi wetu katika chombo cha kutunga sheria. Ni siku muhimu si kwa wagombea tu bali hata kwetu sisi wapiga kura, Watanzania wa sasa na wa siku zijazo. Umuhimu huo ni vema uendane na utunzaji amani, usalama na katika haki kwa wote. Sisi leo tupo … Tanzania itaendelea kuwepo … sisi tutapita.

Niwatakie heri katika siku ya kutumia UHURU wa kuamua. Tuendelee kuwepo.

Pichani ni mwasisi wa Taifa letu, Hayati Julius Kambarage Nyerere.

Advertisements

Written by simbadeo

October 30, 2010 at 5:06 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: