simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Jina lako lipo? … Katazame

leave a comment »

Zimesalia chini ya saa 72 kabla Watanzania hawajaanza kupiga kura. Hivi sasa majina ya wapiga kura yamebandikwa katika vituo mbalimbali vya kupigia kura. Ni muhimu kwenda pale ulipojiandikisha ili ukague kama jina lako lipo au la.

Pichani juu, ni katika kituo cha Mongolandege, Jimbo la Uchaguzi la Ukonga. Mwanadada akikagua kuona kama jina lake lipo au la. Mpiga kura … nenda kahakikishe kwamba jina lako lipo ili Jumapili utumie haki yako kuamua hatma ya nchi yetu na vizazi vya sasa na vya baadae.

Advertisements

Written by simbadeo

October 28, 2010 at 9:34 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: