simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Lala salama … kampeni

leave a comment »

Kampeni za lala salama. Nimekuta msafara huu pale maeneo ya Karakana ya TAZARA Barabara ya Nyerere. Samahani kuhusu ‘angle’ ya picha. Ilikuwa ghafla bin vuuuup.

Zimesalia siku nne kabla ya kumalizika kwa kampeni za uchaguzi mkuu. Kila mgombea anafanya juhudi za mwisho mwisho kuvutia kwake. Mwamba ngoma huvutia kwake … au siyo?

Advertisements

Written by simbadeo

October 27, 2010 at 10:38 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: