simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mlimani City … hivi karibuni

leave a comment »

Ni taswira tu za Mlimani City. Ni mahali pazuri kupatembelea. Ni eneo ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa na mchango fulani kwa jiji la Dar es Salaam. Kama tungefahamu eneo hili linaiingizia nchi yetu kiasi gani kwa mwaka … pengine ingetutia nguvu ya kufungua maeneo kama haya katika mikoa mingine pia ili kukuza uchumi wa huko na hasa wa mkulima ambaye pengine angepata mahali pa kuuzia bidhaa zake kuanzia mchele, mahindi, maharage, matunda n.k. Mtupe data jamani.

Advertisements

Written by simbadeo

October 25, 2010 at 3:24 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: