simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ajali … Kipawa Bakhressa

leave a comment »

Watu wakishangaa ajali ya gari ndogo iliyotokea dakika 10 kabla ya picha hii kupigwa. Sikupata vema nambari za gari hilo lakini zinaanza hivi: T 95…AFE.

Shuhuda akimpa maelezo askari wa usalama barabarani … waenda kwa miguu watatu waligongwa na gari hili kabla halijaingia mtaroni … na walikuwa tayari wamekwishakimbizwa hospitali … dereva wa gari hilo na abiria wake mmoja akiwa mtoto walikuwa pia wamejeruhiwa vibaya maeneo ya kichwani … nao walikuwa wamekimbizwa hospitali ….

Hii bila shaka ndiyo chanzo kimojawapo cha ajali hiyo … rim ya tairi kukatika na kufanya tairi la mbele kushoto lichomoke … lakini bila shaka sababu nyingine itakuwa ni mwendo mkali aliokuwa nao dereva.

Hilo ndiyo tairi lililochomoka … tazama rim hiyo … inatisha … mtu unaweza kusema hutapanda tena magari … chuma kinakatika kama karatasi au kipande cha ukuni

Juhudi za kuanza kulitoa gari hilo mtaroni zinapangwa … fisi ashatia timu … huyo ni mtaalamu kutoka kwenye hilo fisi.

Advertisements

Written by simbadeo

October 23, 2010 at 2:06 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: