simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Salasala – Dar es Salaam …

leave a comment »

Kabumbu … Young Shooting Stars vs Kids. Mpaka kamera ya Waza Mpaka Basi inatoka uwanjani hapo magoli yalikuwa 2-1.

Moja ya kona katika barabara ya Salasala jijini Dar es Salaam.

Unapotoka Salasala kuingia Barabara ya Bagamoyo

Salasala ni miongoni mwa maeneo katika jiji la Dar es Salaam ambako kuna makazi mapya. Moja ya mambo yanayokosekana katika makazi aina hii ni pamoja na viwanja vya wazi vilivyotengwa kwa shughuli mbalimbali. Kwa mfano, vijana waliokuwa wakicheza soka walikuwa wakitumia eneo ambalo kimsingi ni njia ya umeme wa msongo mkubwa. Ni jambo la hatari kwao. Kwa hiyo basi katika upangaji miji, inafaa sana kuzingatia kuwepo kwa maeneo ya wazi. Sote tunafahamu umuhimu wa maeneo kama hayo kwa jamii.

Advertisements

Written by simbadeo

October 17, 2010 at 12:02 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: