simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Vijiwe … tuviondoshe vipi?

leave a comment »

Vijiwe vya mtindo huu si vigeni machoni pa wengi katika Tanzania. Kila upitapo hukosi kuona vijiwe hivi. Haijalishi ni wakati gani katika mwaka. Hivi, shughuli za uzalishaji mali hufanyika wakati gani? Nguvu kazi hii tunaitumia vipi katika kujikwamua kiuchumi? Je, kwa kuuza vichane vichache vya ndizi au mahindi ya kuchoma kadhaa tutaondokana na umaskini uliotugubika kila kona mpaka kwenye kope za macho? Ipo haja ya kuondosha vijiwe hivi. Tunahitaji mipango madhubuti na uongozi thabiti ili kukabili vijiwe hivi. Vijiwe hivi ni kikwazo kwa maendeleo ya kiuchumi, kiutamaduni, kiakili na hata kiimani. Tusisahau ule msemo usemao: An idle mind is the devil’s workshop! Hebu tukumbuke jinsi Hayati Edward Moringe Sokoine alivyoshughulikia mambo haya … aliweza … hata waliopo sasa wanaweza … ikiwa kweli watadhamiria kuleta ajira za maana zinazolenga kukuza uchumi wa nchi hii. Tumekalia utajiri kila mahali … kwa nini tuendelee kuwa maskini?

Advertisements

Written by simbadeo

September 23, 2010 at 11:37 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: