simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Jina lako …

leave a comment »

Literally: Your work is your name.

More than literal meaning: What you do and how you do it defines your personal identity/character. In other words – if you do a good job, then your name will be tied to it; and if you do a bad job, also your name will be tied to it.

Moreover, history will judge us in accordance with the legacy that we leave/left behind. History will tell if each one of us played one’s part in a positive or negative manner, that is, what contribution does each one of us make to the general well-being of the human race and other beings. Currently, in Tanzania we are in the middle of election campaigns (for the presidential post, parliamentary seats, and ward councilor seats) – may be it is time we judge contestants as per this message – and we may judge policies and election manifestos being put forward by various political parties using the same message – that is – judging them on what they have done for us in their own small or big ways.

Msemo huo ni muhimu sana katika kupima wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu pamoja na chaguzi nyingine katika miaka ijayo. Tunaweza pia kuutumia kupima sera na ilani zinazonadiwa hivi sasa na vyama mbalimbali vya siasa – kila kimoja kukipima kwa jambo lolote lile – dogo au kubwa – ambalo chama kama chama kimewahi kutufanyia Watanzania na kutazama kuwa hayo waliyofanya huko nyuma yanatupa matumaini gani kwa siku za usoni. Uchaguzi Mkuu ni tukio muhimu sana na kwa mantiki hiyo hatuna budi kulichukulia kwa uzito unaostahili na kufanya uamuzi makini – maana tukumbuke kwamba hakuna bahati mbaya – kuna au uzembe ama makusudi. Tukiwa wazembe – tutaendelea kugaagaa kwenye vumbi la umaskini uliokithiri, tukiwa makini tutajikwamua kutoka katika vumbi hilo na kupata ahueni kama si kuwa na hali bora zaidi sana. Tuendelee kuwepo.

Tukumbuke, kiongozi akifanya kazi nzuri, jina lake litakwenda na sifa hiyo – hata kama kazi hiyo itatambulika miaka 50 baadaye; na akifanya kazi mbaya – sifa hiyo itamwandama kokote atakakokuwa hata miaka 50 au zaidi baadaye. Ukweli haufichiki. Unaweza kuwazuia watu kutouona kwa muda tu – wenyewe utalazimisha kuonekana – ni suala la muda tu.

Advertisements

Written by simbadeo

September 18, 2010 at 2:46 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: