simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mikono art gallery … a glimpse

leave a comment »

Nisimalize utamu msomaji. Ukitaka kuona zaidi tembelea duka la Mikono Art Gallery lililopo karibu na makutano ya Barabara ya Nyerere, Kawawa na Chang’ombe. Hutapotea. Ukiwa pale utafurahia kazi hizi na nyingine nyingi za sanaa … na unaweza kujinunulia kazi hizo kwa bei nzuri sana … nafikiri unaweza pia kuuliza maswali mengi tu kadiri upendavyo na utajibiwa kifu yako. Vilevile ndani kuna mgahawa wa chakula … kwa hiyo ukitaka kufurahia kazi za sanaa sambamba mlo safi wa mchana … tembelea hapa.

Advertisements

Written by simbadeo

September 15, 2010 at 5:58 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: