simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Nyerere … zama za ujenzi wa nchi

leave a comment »

Kazi ilionekana. Mpaka leo bado kazi zingalipo. Matunda yake yanaonekana. Ama kwa hakika itachukua miaka mingi sana kabla hatujarejea katika zama zile za Mwalimu. Ukandarasi wa uhakika – ujenzi upofanyika ulifanyika – hakuna sababu ya mkandarasi kuja kurudia – kwa sababu alifanya kazi yake vizuri … hata kama wengi wetu tulikuwa makinda wakati ule … lakini kwa historia iliyoandikwa na ushahidi kedekede ambao bado upo tunajua kwamba kazi ilifanyika na ni kwa sababu kulikuwa na usimamizi makini. Turejelee zama zile. Tunaweza.

Advertisements

Written by simbadeo

September 12, 2010 at 1:35 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: