simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Eid-el-Fitr … Dar … Tafakari …

leave a comment »

And petty traders found a good opportunity to undertake their businesses …

Photos at a pay

Ice cream …

Buns, kacholis and many other items …

And some were in the company of their parents/guardians/sisters …

The most challenging point and task … was …. crossing the main road … the two traffic police officers who were there had a hard time managing the situation and ensuring that no vehicle did run over kids …

Jana Waislamu nchini Tanzania waliungana na Waislamu wengine duniani kusherehekea sikukuu ya Idi-el-fitr. Sikukuu hii ni maalumu kusherehekea kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Kwa sababu jiji la Dar es Salaam na viunga vyake linakosa maeneo ya kujipumzisha (recreation points) zilizo maalumu kwa ajili ya watoto na vijana … katika shehere kubwa kama Idi, Pasaka na Krismas, mamia kwa maelfu ya watoto na vijana huenda kupitisha sikukuu hizo katika maeneo kama vila Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kandokando mwa bahari na wengine kuzagaa katika mitaa mbalimbali.

Kwa vile hiki ni kipindi cha kampeni za uchaguzi … tunatega masikio yetu kusikia namna gani vyama vya siasa vinaeleza namna gani watashughulikia upungufu huu mkubwa katika jiji la Dar es Salaam na miji mingine nchini. Tukubaliane tu kwamba uwanja wa ndege ni mahali ambapo shughuli zake zinafahamika … kwanza eneo lenyewe ni dogo kuweza kumudu ugeni mkubwa wa ghafla namna hiyo … miundo mbinu yake haiko maalumu kwa ajili ya shughuli hiyo. Lakini zikianzishwa open spaces … kukawepo shughuli mbalimbali kama disco toto, sarakasi, sanaa za maonesho, uimbaji wa mashairi, utambaji ngonjera, usomaji vitabu, mieleka kwa watoto, ndondi, soka, netiboli na michezo mingine anuai … ama kwa hakika usherehekeaji wa sikukuu hizi ungekuwa na maana zaidi na shamrashamra zingekuwa juu … na ingekuwa ni business kubwa kwa vijana wanaojiajiri katika kuendesha shughuli hizo. INAWEZEKANA … kinachotakiwa ni political will na si blabla!

Advertisements

Written by simbadeo

September 11, 2010 at 11:08 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: