simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Presidential campaigns … CUF vs CCM

leave a comment »

Huyu ni wa CUF … ni wa siku nyingi katika nyakati kama hizi…. anatroti tangu majogoo mpaka wakati wa kufuturu … Yasemekana stamina yake ni ya watu wenye afya zao njemaa wapatao 70. Huamini? Kamuulize. The guy in the photo is not just standing there … he is trotting … he does so from dawn to dusk.

Huyu ni wa CCM … ni ujio wa pili … haya. Hapa pana kazi kwelikweli. Sijui mpiga kampeni wa CHADEMA atasimama upande gani katika eneo hili zinapokutana Reli ya Kati na Barabara ya Mandela (Buguruni). Mpambano unaendelea. Tuendelee kuwepo.

Advertisements

Written by simbadeo

August 28, 2010 at 2:20 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: