simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Twiga Cement na Aurora … pongezi

leave a comment »

Jambo zuri linapofanyika, ni vizuri kutoa pongezi za dhati. Nayapongeza makampuni haya mawili: Twiga Cement na Aurora. Huu ni mfano wa kuigwa. Suala la usafi ni la jamii nzima. Kila mmoja anapaswa kuwajibika. Kwa makampuni hii ni moja ya njia nzuri ya kurejesha kwa jamii sehemu ya faida wanayochuma kutoka katika jamii hiyohiyo (Corporate Social Responsibility). Utunzaji wa mazingira ni muhimu … pengine wakati umefika sasa ambapo makampuni haya na mengine mengi yajiingize pia katika kusaidia ukuaji wa elimu… mfano kusaidia shule kwa vitabu n.k. Naelewa kuna kampuni ambazo zimekuwa zikifanya hivyo tayari … lakini vitabu vingi zaidi vinahitajika. Kesho na keshokutwa makampuni hayohayo yatahitaji kuajiri wafanyakazi walioelimika vema … shuleni ndiko kuliko na bustani za miche ya wafanyakazi hodari wa miaka ijayo … kumbe sote tuna wajibu wa kutunza bustani hizo na kuzipatia yale yanazohitaji ili kutoa miche bora. Hongera Twiga Cement … Hongera Aurora. Kazeni buti.

Advertisements

Written by simbadeo

August 25, 2010 at 5:45 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: