simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

CCM… Uzinduzi wa Kampeni

leave a comment »

BAADHI YA YALIYOJIRI KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI LEO MCHANA

Mitaa ilitawaliwa na pikipiki na magari … yote yalisheheni wanachama wa CCM … bendera, Tee-Shirt, kofia, vitambaa – kijani na njano.

Kuta nazo zimeanza kunena…

Haya … kazi kwako kutafakari … ujumbe unanikumbusha kuhusu kile kinachojulikana kama ‘State Capitalism’ … sasa hapa sijui ni ‘Party Capitalism’? Hata hivyo, nchi yetu inafuata mfumo wa UJAMAA na Kujitegemea … endelea kutafakari.

Haya … wengine walianza kuondoka hata kabla ya mambo …

Hatukukosekana … tulikuwepo …

Nyomi …

Ngoja nitafuta mahali pa kupumzika …

Wapo waliojichokea na kujivunika jua kiaina …

Jukwaa kuu … Mwenyekiti anaendelea kumwaga sera: CCM ni chama cha kuaminiwa na kuaminika …

Biashara ilichangamka … huyu alifanya trip 3 …

Maua mazuri yapendekeza … ukiyatazama … yalikuwepo

Mmoja akasema: ‘Hata kama kuna kwikwi … hatuvunjiki moyo … ni ya muda tu …’

Burudahi inapokolea …

Haya … kila mmoja na mgombea wake …

Dubwana lilikuwepo … linatisha

Kwa wengine … ilikuwa kimbembe kupata usafiri wa kurejea nyumbani … hao ni wale walioamua kuondoka mapema wakati Mwenyekiti akizungumza sijui ilikuwaje kwa wengine ambao ilibidi wasubiri mpaka mwisho.

Nukuu kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM leo: Sera za vyama vingine zimekopiwa kutoka katika zile za CCM … badala ya kutumia fotokopi … kwa nini usitumie original ambayo ipo?

Advertisements

Written by simbadeo

August 21, 2010 at 4:47 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: