simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ujasiriamali … ushuhuda wa ukuaji

leave a comment »

Ujasiriamali. Uthubutu. Ubunifu. Kwa miaka mitatu au zaidi kidogo nimekuwa mteja wa matunda kwenye kioski hiki kilichopo eneo la Njia Panda Segerea, Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam. Kilichonisukuma kuandika kuhusu mwenye biashara hiyo, Bw Ashley, ni ukuaji wa biashara hiyo. Daima nimekuwa nikifurahia ubora wa huduma anazotoa lakini pia kuona kwamba biashara inaendelea – siyo kuwepo tu bali kwamba kuna mabadiliko ya kimwonekano. Ilianza kama zinavyoanza biashara nyingine nyingi. Lakini kila baada ya miezi kadhaa ilipiga hatua fulani – sasa hivi mwonekano umebadilika zaidi. Nina imani kwamba baada ya miaka mingine mitatu, tutakuwa tukitazama kitu tofauti zaidi. Ni furaha kushuhudia ukuaji wa namna hii – na – in a way – kuwa mshiriki katika ukuaji huo kwa nafasi ya mteja. Tuna la kujifunza hapa.

Advertisements

Written by simbadeo

August 18, 2010 at 10:22 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: