simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ubunge … CUF … hawa hapa

with 3 comments

ORODHA YA WAGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2010 YA CHAMA CHA CUF

DAR ES SALAAM
Hussein Siyovelwa (Ilala); Kimangale Mussa (Segerea); Heko Pori (Ukonga);
Shaban Mapeyo (Kawe); Shabaan Nassor (Kinondoni); Mustafa Mungwe (Kigamboni)

TANGA
Mussa Mbarouk (Tanga Mjini); Remmy Shundi (Handeni); Bakar Mbega (Mkinga);
Abubakar Bakari (Muheza); Gogola Gogola (Mlalo); Fabi Sozi (Bumbuli);
Abassy Mkankamghanga (Lushoto), Jumaa Magogo (Korogwe Mjini);
Mohamed Asiu (Korogwe Vijijini); Omar Masomaso (Pangani)

KILIMANJARO
Awadh Mwarabu (Same Magharibi);

MTWARA
Hassan Abdallah (Mtwara Mjini); Katani Katani (Tandahimba); Clara Mwatuka (Masasi);
Mtikita Mtikita (Lulindi); Hakika Maarifa (Newala); Chikamba Wanainuka (Mtwara Vijijini)

LINDI
Salum Barwany (Lindi Mjini); Ayubu Nassor (Mchinga); Khalfan Mandanje (Mtama);
Madaraka Beyi (Liwale), Nanjase Nanjase (Nachingwea), Abubakary Kondo (Ruangwa), Seleman Bungara (Kilwa Kusini); Said Manoro (Kilwa Kaskazini).

TABORA
Edward Zombwe (Urambo Mashariki), Kirungi Kirungi (Urambo Magharibi),
Hassan Mwigwayasila (Igalula), David Kassoga (Tabora Kaskazini), Kidumla Kidumla (Bukene), Dominic Kizwalo (Nzega); Abdallah Katala (Sikonge)

KAGERA
Christina Kasimbazi (Bukoba Vijijini), Nicolaus Batalingaya (Karagwe),
Twaha Taslima (Bukoba Vijijini), Hamida Issa (Biharamulo Magharibi),
David Tibanywana (Chato); Yahya Ndyema (Nkenge)

ARUSHA
Ghariby Baalawy (Arusha Mjini), John Pallangyo (Arumeru Mashariki),
Adella Kileo (Arumeru Magharibi); Navaya Ndaskoi (Monduli)

MARA
Mustafa Wandwi (Musoma Mjini), Vedastus Msita (Mwibara)
Wilegi Songambele (Bunda);

PWANI
Jafar Ndende (Mkuranga), Seif Porwe (Kibiti), Ali Kihambwe (Rufiji),
Wahabi Twalut (Mafia), Adui Kondo (Kisarawe), Zahoro Vuai (Bagamoyo)
Miraj Mtibwiliko (Chalinze)

SHINYANGA
Mwalimu Mbukuzi (Shinyanga Mjini), Khanipha Ruhinda (Maswa Mashariki),
Seif Baya (Maswa Magharibi), Jackson Deodatus (Bukombe),
Shashu Lugeye (Solwa), Sauda Kasiga (Msalala), Hamisi Makapa (Kahama),
Creoface Magere (Mbogwe) James Matinde (Kisesa)

KIGOMA
Fatma Kinguti (Kigoma Mjini), Salum Kajanja (Buyungu),
Athumani Hamisi (Muhambwe), Rashid Kaduguda (Kasulu Magharibi)
Ibrahim Magara (Buhigwe)

MBEYA
Ezekia Mtafya (Ileje), Asukile Kabango (Mbozi Magharibi), Nkuyuntila Siwale (Mbozi Mashariki),
Yusuf Said (Kyela); Shaweji Salinyambo (Mbarali)

IRINGA
Mussa Fufumbe (Isimani), Godfrey Hongele (Njombe Kaskazini),
Stanley Fwila (Njombe Kusini); Jacob Mhanga (Njombe Magharibi)

MANYARA
Rashid Mgaya (Babati Mjini), Juma Nyeresa (Kiteto), Eliseus Amedeus (Mbulu)

RUVUMA
Mazee Mazee (Tunduru Kaskazini), Mohammed Mambo(Tunduru Kusini)
Hassan Mtwangambati (Namtumbo)

MOROGORO
Willy Dikundile (Kilosa Kati), Abeid Mlapakolo (Morogoro Mjini)
Blandina Mwasabwite (Morogoro Kusini Mashariki)

MWANZA
Komanya Athanas (Buchosa), Mbaraka Chiru (Sengerema), Peter Malebo (Geita),
Oscar Ndalahwa (Busanda), Andrea Mkanga (Nyang’hwale), Abdallah Mtina (Misungwi),
Omar Mbalamwezi (Nyamagana), Mtebe Msita (Ukerewe), Ligawa Ndalahwa (Kwimba)
Julius Samamba (Sumve)

KATAVI
Aram Ndimubenya (Mpanda Mjini), Athumani Kababende (Mpanda Vijijini)
Abbas Ally (Katavi)

SINGIDA
Rashid Mindicar (Singida Mjini), Sizimwe Kanyota (Singida Kaskazini)
Dalfina Patric (Singida Magharibi)

Dodoma
Ngomoka Joseph (Mtera), Ngomoka William (Chilonwa),
Yahya Deni (Kondoa Kaskazini), Hassan Missanya (Kondoa Kusini)

TABORA
Kapasha Kapasha (Tabora Mjini);

ZANZIBAR
Faki Haji Makame (Mtoni), Rashid Soud Khamis (Bububu),
Hassan Omar Issa (Mfenesini), Khamis Msabaha Mzee (Dole),
Khatib Haji Ali (Fuoni), Ussi Juma Hassan (Mwanakwerekwe),
Hamad Ali Hamad (Magogoni),Hemed Said Nassor (Dimani),
Seif Suleiman Kombo (Amani); Khamisi Ali Khamisi (Kwamtipura)
Ali Juma Khamisi (Chumbuni), Khamisi Mussa Haji (Kwahani),
Idarous Habib Mohamed (Kikwajuni), Khalid Rajab Mghanah (Rahaleo),
Suleiman Khamis Ally (Mpendae), Muhammad Ibrahim Sanya (Mji Mkongwe),
Mohamed Yussuf Maalim (Jang’ombe); Ahmed Khamis Hamad (Magomeni)
Ramadhan Ali Mbarouk (Bumbwini), Ali Rashid Ali (Kitope),
Othman Habibu Juma (Donge), Ali Mati Wadi (Matemwe),
Yussuf Haji Khamis (Nungwi), Rashid Khamis Rashid (Tumbatu),
Khamisi Suleiman Kombo (Chaani), Hassan Omar Nahodha (Mkwajuni),
Abdi Mohamed Adeyoum (Uzini), Ali Khamis Ame (Chwaka)
Shabaan Iddi Ame (Koani); Mohamed Kombo Ali (Makunduchi),
Vuai Issa Haji (Muyuni), Mussa Haji Kombo (Chakechake),
Ahmed Juma Ngwali (Ziwani), Hamad Rashid Mohammed (Wawi),
Haji Khatib Kai (Micheweni); Rashid Ali Abdalla (Tumbe),
Khatib Said Haji (Konde), Kombo Khamisi Kombo (Mgogoni),
Mbaruk Salum Ali (Wete), Khalifa Suleiman Khalifa (Gando),
Said Suleiman Said (Mtambwe), Rajab Mbarouk Mohamed (Ole),
Rashid Ali Omar (Kojani), Salim Hemed Khamis (Chambani),
Mohamed Habib Mnyaa (Mkanyageni), Masoud Abdalla Salim (Mtambile),
Abdalla Haji Ali (Kiwani) Ali Khamisi Seif (Mkoani)

Watakaowania uwakilishi katika Baraza la Wawakilishi

Nassor Ahmed Mazrui (Mtoni), Bakar Haji Muhammad (Bububu),
Masoud Nassor Seif (Mfenesini), Hasne Abdalla Abeid (Dole),
Asha Ali Fakih (Fuoni), Idrisa Hamad (Mwanakwerekwe),
Abdilah Jihad Hassan (Magogoni) Manzi Ibrahim Juma (Kiembesamaki)
Ali Juma Ali (Dimani), Khamis Rashid Abeid (Amani),
Dk. Majaliwa Juma Seif (Kwamtipura), Maulid Suleiman Juma (Chumbuni),
Hassan Juma Hassan (Kwahani) Bakar Hassan Bark (Kikwajuni).
Omar Mussa Makame (Rahaleo), Maharouk Abdalla Suleiman (Mpendae),
Ismail Jussa Ladhu (Mji Mkongwe), Haji Ameir Muhunzi (Jang’ombe),
Zainab Omar Mzee (Magomeni), Zahran Juma Mshamba (Bumbwini),
Hassan Khatib Kheri (Kitope), Machano Omar Masanja (Donge)
Shauri Makame Mkadam (Matemwe); Haji Mwadini Makame (Nungwi),
Makame Hamad Makame (Tumbatu), Khamis Amour Vuai (Chaani),

Vuai Kona Haji (Mkwajuni), Salma Hussein Zaral (Uzini),
Ali Mrisho Haji (Chwaka),Khamis Malik Khamis (Koani)
Ameir Mussa Ameir (Makunduchi); Suleiman Hassan Suha (Muyuni),
Omar Ali Shehe (Chakechake), Rashid Seif Suleiman (Ziwani),
Saleh Nassor Juma (Wawi), Abdalla Juma Abdalla (Chonga),
Subeti Khamis Faki (Michweweni), Rufai Said Rufai (Tumbe),
Suleiman Hemed Khamis (Konde), Abubakar Khamis Bakary (Mgogoni)
Asaa Othman Hamad (Wete); Said Ali Mbarouk (Gando),
Salim Abdalla Hamad (Mtambwe), Hamad Masoud Hamad (Ole),
Omar Ally Jadi (Kojani), Mohammed Mbwana Hamad (Chambani),
Haji Faki Shaali (Mkanyageni), Muhamed Haji Khalid (Mtambile),
Haji Hassan Hija (Kiwani); Abdalla Mohamed Ali (Mkoani)

IMETOLEWA NA CUF MAKAO MAKUU

Source: http://www.michuzipost.com/blog/2010/08/17/orodha-ya-wagombea-ubunge-na-uwakilishi-tanzania-2010-ya-chama-cha-cuf/

Advertisements

Written by simbadeo

August 17, 2010 at 10:26 am

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Chama Cha Wananchi -CUF kimevamiwa na matajiri kuwania nafasi za ugombea ubunge na uwakilishi mara hii. Maalimu Seif amewatetea matajiri hao katika kikao cha Baraza Kuu licha ya rushwa, fitina na ushirikina uliofanywa na matajiri hao. Salim Bimani mshika shemere namba moja.Kama hali ni hii CUF inaelekea wapi? Hata nafasi ya Ukatibu mkuu itanunuliwa na wenye pesa Maalim Seif utaekwa pembeni. Sina haja kuwataja matajiri hao wote wanajulikana.

  Like

  Kiponda Masoud

  August 21, 2010 at 5:44 pm

  • Ndg Kiponda, asante kwa maoni yako. Naamini ni ya kutoka moyoni na bila shaka wana-CUF watachukua hatua za dhati ili kurekebisha mambo – maana unapoona panafuka moshi – ujue chini kuna moto – sasa moto ni kitu chema lakini pia kinaweza kutumika visivyo na kuleta balaa. Tutumie moto huo vema na si kwa makusudi mengine. Tuendelee kuwepo.

   Like

   simbadeo

   August 22, 2010 at 12:11 pm

 2. […] Ubunge … CUF … hawa hapa August 20102 comments 5 […]

  Like


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: