simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar ilipokuwa jiji …

leave a comment »

Enzi zile Dar kweli ilikuwa Dar. Mitaa ilikuwa imepangika vema. Kulikuwa na taa kila baada ya nguzo moja ya umeme (ushahidi wa mabaki ya taa za zamani ungalipo katika maeneo mengi – kama ilivyo kwa ushahidi wa lami zilizokuwepo katika mitaa kibao ya jiji, bado kuna mabakimabaki). Magari ya kusomba taka yalipita kila mtaa. Jiji lilikuwa safi kwa maana ya usafi. SASA HIVI – karibu kila kitu kiko shaghala baghala. Mtu hujui tena soko liko wapi – maana biashara (cheap and sub-standard goods) kila mahali … hata katika maeneo ya hatari kama chini ya transforma za umeme. Kisha kuna watu wanasimama wakijipiga kifua kwa madoido kwamba wao ndiyo topu wa jiji … wao ndiyo wanaoliendesha jiji … oooh goodness me … give me a break … unawezaje kujitapa kwamba wewe ndiyo kiongozi wa kitu ambacho KIMERUDI nyuma kimaendeleo?? Mshahara mnono … ??!!! Kazi???!!!

Advertisements

Written by simbadeo

August 17, 2010 at 10:39 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: