simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Zama za digitali …

leave a comment »

Tunaishi katika zama za digitali. Watoto wadogo wana kasi ya ajabu katika kujifunza matumizi ya msingi ya zana za kidigitali. Kama umenunua simu mpya na huna muda wa kupitia ‘manual’ ili kujifunza namna ya kutumia simu hiyo … we mpe tu mtoto wa miaka 8 – 15 simu hiyo na utashangaa jinsi atakavyoimudu na kukupa maelekezo yote ya msingi katika kitambo kifupi. Ama kwa hakika hizi ni zama za digitali na watoto wetu ni watoto wa digitali. Wenzangu na mie wa zama za SLP hatuna budi kufuata uongozi wa vijana. Tuendelee kuwepo.

Advertisements

Written by simbadeo

August 15, 2010 at 2:46 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: