simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tanesco … aaah! Tena …

leave a comment »

Ni Doreen. Umeme umekatika. Biashara ya Internet inasimama. Kodi na gharama nyinginezo hazisimami. Wakati huohuo TANESCO wanataka kuongeza bei ya umeme. Je, ni kweli kwamba kuongeza bei ya umeme kutasaidia wao kuboresha huduma wanazotupatia sisi wateja wao? Mbona miaka ya nyuma wameongeza bei na bado kero ni zilezile. Je, kuna lipi jipya litakaloletwa na ongezeko la bei la sasa hivi? Au ni mishahara minono zaidi kwa upande wao? Ni tafakari juu ya kero ya kukatikakatika kwa umeme.

Advertisements

Written by simbadeo

August 7, 2010 at 11:59 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: