simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Lumumba Rd …

with 2 comments

Kwa mlioko ughaibuni, si vibaya kujikumbusha mitaa maarufu ya nyumbani na jinsi inavyobadilika. Huu ni Mtaa wa Lumumba, eneo la Mnazi Mmoja. Unaweza kuona jinsi sura ya mtaa inavyozidi kubadilika. Majengo mapya … usiniulize kuhusu umadhubuti wa majengo hayo. Naamini Contractors Board imetoa vibali vinavyostahiki na kwa hiyo majengo hayo hayatatuporomokea kama ambavyo imewahi kutokea hapo siku za nyuma.

Advertisements

Written by simbadeo

August 7, 2010 at 12:06 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. hiyo ndio multiculture, kuna Mmaasai na mobile phone, akina dada katika hijab, wengine kanzu za mikono mifupi, maghorofa, bati kila kitu

  Like

  mwandani

  August 9, 2010 at 12:48 pm

  • yaani we acha tu … picha inasema mengi … mengi yanatafakarisha sana… tuliendeleze…

   Like

   simbadeo

   August 9, 2010 at 1:27 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: