simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mali jalalani …?

leave a comment »

Mawe yenye rangi ya kuvutia. Ni mazuri kuyatazama. Anayeyamiliki anasema watu wamekuwa wakijichotea siku nenda siku rudi. Alikuwa na zaidi ya tani mbili, hivi sasa yamebaki kiduchu. Je, nani anajua yanaitwaje na thamani yake iko vipi? Naweza kukuelekeza pa kuyapata. Utajiri aina hii si haba nchini Tanzania … lakini je Watanzania wangapi wamefaidika nayo?

Advertisements

Written by simbadeo

August 4, 2010 at 6:27 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: