simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ubungo Bus Terminal …

leave a comment »

Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam, ni kati ya saa 11 na 12 asubuhi. Hekaheka ni nyingi: mabasi, abiria, wafanyakazi wa mabasi, wasindikizaji, wachuuzi … vibaka …. Hili ni eneo muhimu sana kwa uchumi wa nchi hususani kwa kupitia sekta ya usafirishaji. Ni eneo ambalo pia linaingizia mamlaka inayohusika fedha nyingi kwa namna mbalimbali. Pengine ipo haja ya kuona ni namna gani eneo linafanywa kuwa bora zaidi: Ziwepo taa za kutosha, mabenchi kwa ajili ya watu kuketi kwa raha kusubiri mabasi au masuala mengineyo. Kuna mengi bado ya kueleza kuhusu kituo hiki. Kwa sasa viwango vya huduma zinazotolewa pale bado viko chini … chini sana.

Advertisements

Written by simbadeo

July 29, 2010 at 11:40 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: