simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Pesa … Money…Currencies

leave a comment »

Hapo kuna dola za Zimbabwe (hata zile zilizofikia thamani ya mamilioni kwa mabilioni) kwacha za Zambia na Malawi, faranga za Burundi, fedha za Kongo, baadhi ya fedha za zamani za Tanzania, fedha za Botswana, fedha za Pakistani, na baadhi ya fedha za mataifa ya Afrika Magharibi.

Sanaa. Kwa kutazama fedha za mataifa mbalimbali, tunaweza kukisia kwa usahihi kabisa kwamba chumi za mataifa hayo zinategemea nini zaidi. Inapendeza sana pia kuona jinsi fedha zinavyobadilika – kimwonekano, ukubwa, material, sanaa na ufundi wa kuzitengeneza, na hata kwa thamani. Hapa Tanzania (na zamani Tanganyika) tulianza na rupia. Katika kipindi cha miaka 40 iliyopita fedha zetu zimebadilika mara nyingi tu. Blogu hii inafanya juhudi kupata fedha na sarafu za nchi yetu tangu zamani hizo. Kwa yeyote mwenye nazo asisite kutuwasilishia walau ‘image’ ya fedha hizo. Karibuni sana.

Advertisements

Written by simbadeo

July 24, 2010 at 1:05 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: