simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ajali … tena

leave a comment »

Ni eneo lililo kati ya Buguruni na Tabata Matumbi kwenye Mandela Express Way. Ni jana tarehe 21 Julai 2010.

Kilichotokea: Kwa mujibu wa shuhuda mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake, lori kubwa lilikuwa likimalizia kukata kona kuingia service road upande iliyo upande wa pili wa barabara. Lori hilo dogo likiwa kwenye mwendo mkali liligonga (kwa kuparaza) upande wa nyuma wa lori hilo kubwa. Waliokuwa kwenye lori dogo walijeruhiwa. Hakuna aliyepoteza maisha pale.

Lo, ajali zimezidi. Kila kukicha. Kila kukichwa. Nini lakini? Jamani, vyombo vya moto ni moto kwelikweli. Kikubwa ni kwa madereva kujali usalama wao na usalama wa wengine wanaotumia barabara. Tunaweza kabisa kupunguza matukio ya ajali.

Advertisements

Written by simbadeo

July 22, 2010 at 10:48 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: