simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tanzania … beauty

leave a comment »

Uwanja wa soka wa Maua Seminary

Bwawa la kuogelea la Maua Seminary

Tanzania ni nchi ya kupendeza. Mazingira. Hali ya hewa. Watu. Milima. Mabonde. Visiwa. Maziwa. Bahari. Mito. Hapo juu tunaona uwanja wa soka ukiwa na nyasi za asili (siyo za plastiki zenye kuhitaji mchanga kutoka jangwani) na pia kuna bwawa la kuogelea – ni vya pale Maua Seminary, Moshi, Tanzania. Ukitembelea Moshi, itafute Maua Seminary, bila shaka utafurahi kufika hapo. Tuendelee kuipendezesha nchi yetu. Tuna wajibu huo. Tuna haki hiyo. (Picha kwa hisani ya Abel Ngapemba).

Advertisements

Written by simbadeo

July 20, 2010 at 9:48 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: