simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tabata … Matumbi

with 2 comments

Ni uchochoro au ujia maarufu wa miaka nenda miaka rudi. Ni short-cut inayounganisha Tabata Matumbi kwenye Mandela Road na Tabata Aroma kwenye maghorofa ya NSSF. Ni uchochoro uliosheheni biashara nyingi. Kuna biashara za matunda, mbogamboga, migahawa, guest house na hata vibaraza vya kuuza nguo. Naam. Ni uchochoro muhimu. Ingawa suala la mipango miji nalo liko nyuma sana, yaelekea itachukua miaka mingi sana kuleta sura mpya katika eneo hili. Tuendelee kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela, leo.

Advertisements

Written by simbadeo

July 18, 2010 at 3:09 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. asante kwa picha za kwetu

  Like

  mwandani

  July 22, 2010 at 5:23 pm

  • Mwandani

   Asante sana kwa maoni. Tuendelee kuifanya Bongo yetu isimame na kupata maendeleo zaidi. Naamini sote kwa pamoja, wa nje na ndani, tunaweza kuiendeleza. Roma haikujengwa kwa siku moja. Kila mmoja wetu anaweza kutoa japo mchango mdogo kuleta mabadiliko chanya. Poa sana mtu wangu, tuendelee kuwepo.

   Like

   simbadeo

   July 23, 2010 at 12:41 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: