simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Taifa lenye afya njema…

leave a comment »

Kwanza kwa mwonekano wa watoto …

Kisha vijana …

Afya njema ya Taifa lolote duniani hujidhihirisha kupitia mwonekano wa watoto. Je, watoto wana afya ya kiwango gani? Je, wanapata upendo wa kutosha kutoka katika familia zao? Je, elimu (iliyo rasmi ya darasani na ile isiyo rasmi katika jamii na hasa familia zao) wanayopata ina ubora wa kiwango gani? Je, wanapata fursa za kukuza vipawa vyao – michezo, ubunifu, udadisi, kujitambua? Je, ni kwa kiwango gani magonjwa yanadhibitiwa ili wasiugue mara kwa mara? Je, lishe yao iko vipi? Je, wana furaha, wana uhuru, wanajivunia kuwa katika familia na jamii ambamo wamo? Kuna maswali mengi ya kujiuliza na kujibu – majibu yafanyike kwa vitendo. Hivi sasa tunazidi kufahamu ni kina nani watasimama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini mwetu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu. Hebu tuwapime kwa namna wanavyojibu maswali yanayowahusu watoto hapo juu. Naamini majibu kwa maswali haya na mengine mengi kama yale yanayohusu usalama, mazingira, maliasili, maendeleo, ajira, elimu, ustawi wa jamii, ukuzaji wa sayansi na teknolojia n.k. ndiyo yatakayotusaid

Advertisements

Written by simbadeo

July 14, 2010 at 11:45 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: