simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Buguruni … Sokoni

leave a comment »

Dar es Salaam ni mji wenye visa vingi. Kila unapopita katika mtaa fulani hukosi kukutana na kisa. Visa hivyo vipo katika makundi mengi … vingine ni vya burudani … vingine ni vituko … vingine ni vya kutia simanzi. Kisa hiki nimekishuhudia hivi majuzi pale Buruguni Sokoni, upande wa Mremi’s Bar. Ilikuwa vigumu kusema nini ni nini … ilikuwa ghafla bin vuuuup … mara matarumbeta yanapita … akina dada wanamwaga mauno … je, ilikuwa harusi … kutoa mwali nje …au … sijui. Ila macho yaliburudika vya kutosha … japo kwa dakika mbili walizopita pale.

Advertisements

Written by simbadeo

July 11, 2010 at 2:17 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: